Kilimo cha pamba Tanzania
Loading...
Date
1999
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
kiwanda cha uchapaji cha taifa
Abstract
PAMBA ni zao ambalo hustawi vizuri sana katika
sehemu kubwa ya nchi yetu. Pamba hustawi katika udongo
wa aina mbali mbali mradi tu maji yawe yanapenya kwa
urahisi na usiwe na chachu (acidic) kwa wingi. Kiasi cha
inchi ishirini za mvua hustawisha pamba vema, kama
ikinyesha kwa mpango mzuri. Mwinuko wa kuanzia usawa
wa bahari hadi futi 4,500 kutoka usawa wa bahari ndiyo
hasa hufaa kwa ustawishaji wa pamba.
Description
Keywords
Pamba, Kilimo, mkulima