Browsing by Author "Idara ya ukuzaji viumbe maji"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Kilimo cha mwani(Wizara ya mifugo na uvuvi,, 2022) Idara ya ukuzaji viumbe majiMwani ni aina ya mimea inayoota na kukua kwenye maji chumvi (bahari) na maji baridi (mito, maziwa na mabwawa). Tofauti iliyopo kati ya mwani na mimea mingine inayokua kwenye nchi kavu ni kwamba mwani hautegemei mizizi kufyonza maji na virutubisho vingine bali hutumia sehemu zote za mmea kuvyonza virutubisho vinavohitajika kutoka kwenye maji. Aina ya jamii ya mwani inayolimwa nchini Tanzania kitaalam hujulikana kama “Eucheuma denticulatum” na pia huitwa Eucheuma spinosum. Aina nyingine ni “Kappaphycus alvarezii” kwa jina jingine Eucheuma cottonii.Item Unenepeshaji wa kaa(Wizara ya Mifugo na Uvuvi,, 2022-03) Idara ya ukuzaji viumbe majiKaa ni kiumbe anayeishi kwenye mchanganyiko wa maji bahari na maji baridi. Jamii ya kaa anayefugwa kwa wingi hapa nchini anajulikana kama kaa-ungo na kitaalam hujulikana kama Scylla serrata (mud crab au mangrove crab). Kaa hawa huishi kwenye mikoko na mara nyingi hujichimbia kwenye tope. Kaa wanakua kwa kujivua gamba kila hatua ya ukuaji. Faida za kunenepesha kaa ni pamoja na kuongeza kuongeza uzito na ubora wa nyama, kipato, kupunguza vifo na kuhifadhi mazingira ya mikoko.