Unenepeshaji wa kaa

Loading...
Thumbnail Image

Date

2022-03

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Wizara ya Mifugo na Uvuvi,

Abstract

Kaa ni kiumbe anayeishi kwenye mchanganyiko wa maji bahari na maji baridi. Jamii ya kaa anayefugwa kwa wingi hapa nchini anajulikana kama kaa-ungo na kitaalam hujulikana kama Scylla serrata (mud crab au mangrove crab). Kaa hawa huishi kwenye mikoko na mara nyingi hujichimbia kwenye tope. Kaa wanakua kwa kujivua gamba kila hatua ya ukuaji. Faida za kunenepesha kaa ni pamoja na kuongeza kuongeza uzito na ubora wa nyama, kipato, kupunguza vifo na kuhifadhi mazingira ya mikoko.

Description

Keywords

Kaa, Vizimba, Kunenepesha

Citation

Collections