Browsing by Author "International Tanfeeds"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Ufugaji bora wa samaki 2025(International Tanfeeds LTD, 2025) International TanfeedsMBINU MUHIMU WAKATI WA UANZISHAJI UFUGAJI WA SAMAKI Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji. Kufanya tathmini ya rasilimali alizonazo kwa ajili ya mradi wa ufugaji wa samaki. Chanzo endelevu cha mtaji kwa ajili ya mradi. Hulka ya uvumilivu na kuthubutu. Tathmini ya soko la bidhaa za samaki. kujipatia maarifa ya msingi ya ufugaji wa samaki