Ufugaji bora wa samaki
Loading...
Date
2023
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
International Tanfeeds
Abstract
MBINU MUHIMU WAKATI WA UANZISHAJI UFUGAJI WA SAMAKI
• Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji.
• Kufanya tathmini ya rasilimali alizonazo kwa ajili ya mradi wa ufugaji wa samaki.
• Chanzo endelevu cha mtaji kwa ajili ya mradi.
• Hulka ya uvumilivu na kuthubutu.
• Tathmini ya soko la bidhaa za samaki.
• kujipatia maarifa ya msingi ya ufugaji wa samaki
Description
kitabu
Keywords
Samaki, Ufugaji bora wa samaki, Eneo la kufugia samaki, Bwawa la Samaki