Browsing by Author "Iternational Tanfeeds"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Ufugaji bora wa samaki(International Tanfeeds, 2023) Iternational TanfeedsMBINU MUHIMU WAKATI WA UANZISHAJI UFUGAJI WA SAMAKI • Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji. • Kufanya tathmini ya rasilimali alizonazo kwa ajili ya mradi wa ufugaji wa samaki. • Chanzo endelevu cha mtaji kwa ajili ya mradi. • Hulka ya uvumilivu na kuthubutu. • Tathmini ya soko la bidhaa za samaki. • kujipatia maarifa ya msingi ya ufugaji wa samaki