Browsing by Author "Kinsey, Erwin"
Now showing 1 - 3 of 3
Results Per Page
Sort Options
Item Jarida la mbinu bora(Echo community, 2011) Kinsey, ErwinUfugaji wa mifugo kiasili ni mfumo wa maisha ambao watu au jamii husika wanaishi maisha yao kwa kutegemea mifugo. Katika ukanda wa Afrika ya Mashariki, wafugaji hawa hutegemea zaidi mifugo ya aiana mbali mbali kama; ng’ombe, kondoo, mbuzi, punda, na ngamia ili kukimu maisha yao na familia zao. Mifugo iliyotajwa, imeorodheshwa kwa kigezo cha kuanzia na lile kundi ambalo sio stahimilivu sana (ng’ombe) na kumalizia na lililo stahimilivu zaidi (punda na ngamia), pia kwa kuzingatia maeneo ya ufugaji kuanzia na yaliyo makame kiasi hadi makame zaidi. Wafugaji hawa wana mchango mkubwa sana katika sekta/idara husika lakini bado hawajaweza kuthaminiwa ipasavyo. Kwa mfano: uwezo wa kutunza/ kuendeleza kizazi cha ng’ombe wa asili. Katika utunzaji wa mifugo yao, wafugaji hawa wana uwezo wa kipekee wa kutumia maeneo yanayokabiliwa na ukame kwa njia ya kuhama hama kwa ajili ya kupata malisho bora na maji. Ni ukweli usiopingika kwamba, katika/ ukanda wa Afrika ya mashariki maeneo ya hifadhi nyingi tunazozifurahia kwa sasa ni matokeo ya wafugaji kuhamahama na kuweza kuyatunza maeneo haya kwa ajili ya malisho na hasa kuweza kuyalinda/kuzuia yasiingiliwe na shughuli za kilimo.Item Mbinu mbalimbali za kuhifadhi maji na udongo na kuzuia mmomonyoko wa ardhi(Echo community, 2013) Kinsey, ErwinItem Mbinu mbalimbali za kuhifadhi maji na udongo na kuzuia mmomonyoko wa ardhi(echo community, 2023) Kinsey, ErwinECHO hivi karibuni alifanya kazi kwa kuanzisha mpango katika eneo linalokusanya maji na kuharibiwa katika jamii karibu na ofisi ya ECHO Arusha, na pia pamoja na Church World Service na MAP International katika Karamoja, Uganda. Kanuni na mbinu zilizotumika zilitokana na uzoefu wa SIDA na World Agroforestry Centre(ICRAF) Nairobi, Kenya. Katika chapisho la EAN#2, tunatoa mafundisho katikaAfrika Mashariki ambayo ni tofauti na mafundisho kutoka Asia kama ilivyoelezwakatika www.ECHOcommunity.org (https://www.echocommunity.org/) chini yamada ya, “Sloping Agriculture Land Technology (SALT).”