Mbinu mbalimbali za kuhifadhi maji na udongo na kuzuia mmomonyoko wa ardhi
Loading...
Date
2023
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
echo community
Abstract
ECHO hivi karibuni alifanya kazi kwa kuanzisha mpango katika eneo linalokusanya
maji na kuharibiwa katika jamii karibu na ofisi ya ECHO Arusha, na pia pamoja na
Church World Service na MAP International katika Karamoja, Uganda. Kanuni na
mbinu zilizotumika zilitokana na uzoefu wa SIDA na World Agroforestry Centre(ICRAF) Nairobi, Kenya. Katika chapisho la EAN#2, tunatoa mafundisho katikaAfrika Mashariki ambayo ni tofauti na mafundisho kutoka Asia kama ilivyoelezwakatika www.ECHOcommunity.org (https://www.echocommunity.org/) chini yamada ya, “Sloping Agriculture Land Technology (SALT).”
Description
Keywords
Mmomonyoko wa ardhi
Citation
http://edn.link/eancontour