Browsing by Author "Kuku site"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Malezi ya vifaranga(Kuku site, 2024) Kuku siteBanda la vifaranga ni muhimu liandaliwe vizuri. Andaa banda/chumba (brooder room) utakachokitumia kwa ajili ya kulea vifaranga kiwe na sifa zifuatazo: • Hewa ya kutosha. • Mwanga wa kutosha • Chanzo cha joto kama vyungu vya joto au bulb zinazozalisha joto. • Mazingira rahisi ya kufanya usafi. • Nafasi ya kutosha kuepusha msongamano wa vifaranga.Item Mlo kamili wa kuku(Kuku site, 2024) Kuku siteMlo kamili wa kuku ni mlo wenye virutubisho vyote muhimu anavyohitaji kuku kwa kiwango na uwiano sahihi, Virutubisho vinavyohitajika katika mlo wa kuku ni kama ifuatavyo: 1.Wanga (carbohydrates) Wanga hutumika kama chanzo cha haraka cha nishati (nguvu) katika mwili wa kuku, na inapatikana katika nafaka mbalimbali kama Mahindi, Pumba ya mahindi, Ngano, Mtama, Mchele n.k 2. Protini ( protein ) Ni kirutubisho muhimu ambacho hujenga mwili. Protini inapatikana katika vyakula kama Mashudu ya Alizeti, Dagaa, Soya, Damu n.k 3.Mafuta (Fat) Mafuta ni muhimu sana katika lishe ya kuku kwani humuwezesha kuku kusharabu fat soluble vitamins kama vitamin A, D, E, na K, huhifadhi nishati, kutunza joto na kulinda ogani muhimu katika mwili wa kuku.