Malezi ya vifaranga
Loading...
Date
2024
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kuku site
Abstract
Banda la vifaranga ni muhimu liandaliwe vizuri. Andaa banda/chumba (brooder room) utakachokitumia kwa ajili ya kulea vifaranga kiwe na sifa zifuatazo:
• Hewa ya kutosha.
• Mwanga wa kutosha
• Chanzo cha joto kama vyungu vya joto au bulb zinazozalisha joto.
• Mazingira rahisi ya kufanya usafi.
• Nafasi ya kutosha kuepusha msongamano wa vifaranga.
Description
Keywords
Malezi, Vifaranga
Citation
https://kuku.great-site.net