Browsing by Author "Laswai, G. H"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Ufugaji bora wa sungura(SUA - TU Linkage Project, 2000) Laswai, G. H; Mnembuka, B. V; Lugeye, S. CKijitabu hiki kimetayarishwa ili kukidhi mahitaji ya wafugaji wa sungura katika Tanzania. Kinajihusisha zaidi na kanuni muhimu ambazo mfugaji wa sungura anapashwa kuzifuata au kuzingatia wakati akitunza wanyama hawa.Item Utunzaji bora wa Sungura(Kitivo cha Kilimo, Idara ya Sayansi za Wanyama - SUA, 2014) Kifaro, C. G; Laswai, G. H; Kerario, I. I; Kibasu, I; Madalla, N; Mayunga, NFaidika na Sungura - Hutoa nyama nyingi kwa haraka • Nyama nyeupe isiyo na mafuta mengi • Huzaa watoto wengi kwa mwaka • Umbile lake ni dogo na rahisi kumfuga • Ulishaji wake ni wagharama ndogo • Nyumba ni rahisi kujenga na gharama ndogo • Mbolea bora ya mashamba kutokana na kinyesi • Ngozi hutoa vifaa mbalimbali