Utunzaji bora wa Sungura
Loading...
Date
2014
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kitivo cha Kilimo, Idara ya Sayansi za Wanyama - SUA
Abstract
Faidika na Sungura - Hutoa nyama nyingi kwa haraka
• Nyama nyeupe isiyo na mafuta mengi
• Huzaa watoto wengi kwa mwaka
• Umbile lake ni dogo na rahisi kumfuga
• Ulishaji wake ni wagharama ndogo
• Nyumba ni rahisi kujenga na gharama ndogo
• Mbolea bora ya mashamba kutokana na kinyesi
• Ngozi hutoa vifaa mbalimbali
Description
Keywords
Sungura, Nyama, Ufugaji