Browsing by Author "Mnembuka, B. V"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Ufugaji bora wa sungura(SUA - TU Linkage Project, 2000) Laswai, G. H; Mnembuka, B. V; Lugeye, S. CKijitabu hiki kimetayarishwa ili kukidhi mahitaji ya wafugaji wa sungura katika Tanzania. Kinajihusisha zaidi na kanuni muhimu ambazo mfugaji wa sungura anapashwa kuzifuata au kuzingatia wakati akitunza wanyama hawa.Item Ufugaji mseto wa samaki(PANTIL - SUA, 2010) Katule, A. M; Mnembuka, B. V; Madalla, N; Lamtane, H; Mnubi, RUfugaji wa samaki huweza kufanyika kwa kutumia rasilimali zinazopatikana katika mazingira ya mkulima na pia husababisha matumizi bora ya rasilimali za mkulima. Kitabu hiki kinasisitiza ufugaji mseto wa samaki, ikiwa na maana kwamba tuna1enga ufugaji wa samaki unaotumia rasilimali zitokanazo na mifugo au mazao ya mimea ambazo kwa kawaida pengine zisingetumika kwa kazi yoyote nyingine. Pia kinaainisha jinsi ambavyo ufugaji wa samaki huweza kuzalisha, mbali ya chakula kwa matumizi ya binadamu, bali pia rasilimali kwa ajili ya matumizi ya mifugo na mimea shamabani.