Ufugaji mseto wa samaki

Loading...
Thumbnail Image

Date

2010

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

PANTIL - SUA

Abstract

Ufugaji wa samaki huweza kufanyika kwa kutumia rasilimali zinazopatikana katika mazingira ya mkulima na pia husababisha matumizi bora ya rasilimali za mkulima. Kitabu hiki kinasisitiza ufugaji mseto wa samaki, ikiwa na maana kwamba tuna1enga ufugaji wa samaki unaotumia rasilimali zitokanazo na mifugo au mazao ya mimea ambazo kwa kawaida pengine zisingetumika kwa kazi yoyote nyingine. Pia kinaainisha jinsi ambavyo ufugaji wa samaki huweza kuzalisha, mbali ya chakula kwa matumizi ya binadamu, bali pia rasilimali kwa ajili ya matumizi ya mifugo na mimea shamabani.

Description

Keywords

Samaki, Ufugaji, Mifugo, Maji

Citation

Collections