Browsing by Author "Reuben, S. O. W. M"
Now showing 1 - 3 of 3
Results Per Page
Sort Options
Item Kilimo bora cha nyanya(SUA-NORAD FOCAL PROGRAMME, 2005-08) Ishengoma, R. C; Mvena, Z. S. K; Tiisekwa, B; Laswai, H. S; Reuben, S. O. W. M; Nchimbi - Msolla, S; Maerere, A. P; Njau, P. J. RUtafiti huu unahusika na kuboresha uzalishaji, usindikaji na upatikanaji wa masoko ya nyanya Tanzania, ikichukulia wilaya mbili kama kielelezo. Wilaya hizo ni Kisarawe tarafa ya Maneromango na Msanga na Morogoro vijijini, tarafa ya Mikese. Utafiti huu shirikishi unafanyika kati ya wakulima, watalaamu kutoka Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo Morogoro na wagani wa Kilimo kutoka wilaya zilizotajwa. Kijarida hiki kimeandaliwa ili kitumike katika kueneza mbinu mbalimbali zinazohusika na uzalishaji wa nyanya shambani. Mbinu hizi ni pamoja na kuchagua aina nzuri ya nyanya, matayarisho ya kitalu, utunzaji wa nyanya shambani na hatimaye uvunaji. Ni matumaini yetu kuwa kijarida hiki kitakuwa cha manufaa siyo tu kwa wakulima wadodgo wadogo wa nyanya bali pia kwa wadau wote wa nyanya.Item Kilimo bora cha nyanya - Uzalishaji, Usindikaji na Upatikanaji Masoko ya Nyanya unaotilia Mkazo Kupunguza Umasikini Kwa Wakulima Wadogo wadogo(FOCAL - SUA, 2005-08) Ishengoma, C. G; Mvena, Z. S. K; Tiisekwa, B; Laswai, H. S; Reuben, S. O. W. M; Nchimbi - Msolla, S; Maerere, A. P; Ashimogo, G; Njau, P. J. RUtafiti huu unahusika na kuboresha uzalishaji, usindikaji na upatikanaji wa masoko ya nyanya Tanzania, ikichukulia wilaya mbili kama kielelezo. Wilaya hizo ni Kisarawe tarafa ya Maneromango na Msanga na Morogoro vijijini, tarafa ya Mikese. Utafiti huu shirikishi unafanyika kati ya wakulima, watalaamu kutoka Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo Morogoro na wagani wa Kilimo kutoka wilaya zilizotajwa. Kijarida hiki kimeandaliwa ili kitumike katika kueneza mbinu mbalimbali zinazohusika na uzalishaji wa nyanya shambani. Mbinu hizi ni pamoja na kuchagua aina nzuri ya nyanya, matayarisho ya kitalu, utunzaji wa nyanya shambani na hatimaye uvunaji.Item Uboreshaji waVihenge, Hifadhi Bora na Udhibiti wa Viumbe Waharibifu wa Mazao Ghalani(Kurugenzi ya Utafiti na Uzamili, Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine - SUA, 2005-01) Makundi, R. H; Misangu, R. N; Reuben, S. O. W. M; Kilonzo, B. M; Ishengoma, C. G; Lyimo, H; Mwatawala, MHifadhi bora ya mazao inahakikisha familia inakuwa na chakula cha kutosheleza mwaka mzima. Pia mazao yanaweza kuuzwa wakati wowote ili kuongeza kipato. Mradi wa hifadhi bora ya mazao na udhibiti wa viumbe waharibifu umebuniwa na watafiti wa Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA),na unafadhiliwa na Programu ya FOCAL,SUA. Mradi huu unawalenga wakulima katika wilaya tatu Tanzania ambazo ni Handeni, Mvomero na Iringa Vijijini. Hifadhi bora na udhibiti wa wadudu, panya na viumbe wengine wanaoharibu mazao ghalani ni muhimu ili kuhakikisha mazao kama mahindi, kunde, maharage, mpunga, n.k. yanayozalishwa na wakulima hayaharibiwi wakati yanapohifadhiwa. Utafiti shirikishi unafanyika juu ya mbinu za asili na za kisasa ili kuboresha hifadhi ya mazao na kudhibiti viumbe waharibifu wa mazao ghalani.