Kilimo bora cha nyanya
Loading...
Date
2005-08
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
SUA-NORAD FOCAL PROGRAMME
Abstract
Utafiti huu unahusika na kuboresha uzalishaji, usindikaji na
upatikanaji wa masoko ya nyanya Tanzania, ikichukulia
wilaya mbili kama kielelezo. Wilaya hizo ni Kisarawe tarafa ya
Maneromango na Msanga na Morogoro vijijini, tarafa ya
Mikese. Utafiti huu shirikishi unafanyika kati ya wakulima,
watalaamu kutoka Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo
Morogoro na wagani wa Kilimo kutoka wilaya zilizotajwa.
Kijarida hiki kimeandaliwa ili kitumike katika kueneza mbinu
mbalimbali zinazohusika na uzalishaji wa nyanya shambani.
Mbinu hizi ni pamoja na kuchagua aina nzuri ya nyanya,
matayarisho ya kitalu, utunzaji wa nyanya shambani na
hatimaye uvunaji.
Ni matumaini yetu kuwa kijarida hiki kitakuwa cha manufaa
siyo tu kwa wakulima wadodgo wadogo wa nyanya bali pia
kwa wadau wote wa nyanya.
Description
Keywords
Nyanya, Masoko, Uzalishaji mazao, Wakulima wadogo