Browsing by Author "SAT"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Ufugaji wa kuku(Kituo cha mafunzo ya wakulima, 2023) SATMfugaji wa kuku ana jukumu la kuhakikisha kuku wake wanaishi katika mazingira mazuri kiasi cha kutosha kufanya uzalishaji.Kuku ni jamii ya ndege wanaofugwa.Vifaranga ni watoto wa kuku waliotoka kwenye yai wenyeumri kuanzia siku ya 0 mpaka miezi Kuku wanaokuwa: Hawa ni kuku waliotoka kwenye hatua ya vifaranga,umri ni miezi 2.5- 5.Kuku wakubwa ni kuku waliomaliza hatua ya kuku wanaokuwa,umri wao ni kuanzia miezi 5 na kuendelea.