Ufugaji wa kuku
Loading...
Date
2023
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kituo cha mafunzo ya wakulima
Abstract
Mfugaji wa kuku ana jukumu la kuhakikisha kuku wake wanaishi katika mazingira mazuri kiasi cha kutosha kufanya uzalishaji.Kuku ni jamii ya ndege wanaofugwa.Vifaranga ni watoto wa kuku waliotoka kwenye yai wenyeumri kuanzia siku ya 0 mpaka miezi Kuku wanaokuwa: Hawa ni kuku waliotoka kwenye hatua ya vifaranga,umri ni miezi 2.5- 5.Kuku wakubwa ni kuku waliomaliza hatua ya kuku wanaokuwa,umri wao ni kuanzia miezi 5 na kuendelea.
Description
Keywords
Kuku, Ufugaji, Chotara
Citation
https://www.kilimo.org