Browsing by Author "Shetto, M.C."
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Mazao ya jamii ya mizizi(chuo cha kilimo cha Sokoine, 2003-06) Shetto, M.C.Wanawarsha pia waliorodhesha mazao ya jamii ya mizizi ili kuelewa aina za mazao haya. Aina tano za mazao ya jamii ya mizizi yaliorodheshwa nayo ni: Muhogo, Viazi vitamu, Magimbi, Viazi vikuu, Viazi mviringo, angawizi na Karoti. Wanawarsha walikubaliana kuwa mazao ya jamii ya mizizi ambayo wakulima wengi wanalima ni matano na hayo yakapcwa kipaumbele kwa kutumia mbinu ya mlinganisho jozi