Browsing by Author "Sokoine University of Agriculture, Mradi wa Food land Mvomero"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Uboreshaji lishe kupitia uzalishaji na ulaji wa aharage(SUA $ Food land, 2024-07) Sokoine University of Agriculture, Mradi wa Food land MvomeroLishe ni sehemu muhimu ya afya na maendeleo.Lishe bora inahusisha kuboreshwa kwa afya ya watoto wachanga kuanzia wakiwa tumboni ili kuwawezesha kukua vyema kimwili na kiakili, kujenga kinga imara zaidi, kupunguza hatari ya magonjwa na kuwa na maisha marefu. Watoto wenye afya bora hujifunza mambo kwa haraka na kufanya vyema shuleni.Wanapokuwa watu wazima wana nguvu na uwezo wakujitengenezea nafasi ya kuvunja mzunguko wa umaskini na njaa katika kaya na jamii kwa jumla