Uboreshaji lishe kupitia uzalishaji na ulaji wa aharage

Loading...
Thumbnail Image

Date

2024-07

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

SUA $ Food land

Abstract

Lishe ni sehemu muhimu ya afya na maendeleo.Lishe bora inahusisha kuboreshwa kwa afya ya watoto wachanga kuanzia wakiwa tumboni ili kuwawezesha kukua vyema kimwili na kiakili, kujenga kinga imara zaidi, kupunguza hatari ya magonjwa na kuwa na maisha marefu. Watoto wenye afya bora hujifunza mambo kwa haraka na kufanya vyema shuleni.Wanapokuwa watu wazima wana nguvu na uwezo wakujitengenezea nafasi ya kuvunja mzunguko wa umaskini na njaa katika kaya na jamii kwa jumla

Description

For public use

Keywords

Uboreshaji lishe kupitia uzalishaji na ulaji wa aharage

Citation

SUA -Morogoro

Collections