Browsing by Author "Swahili BBC"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Faida za Mwani Kiafya(Swahili BBC, 2022-12-26) Swahili BBCMwani wa bahari 'Chondrus crispus' ni mwani wa kuliwa unaokua katika maeneo ya pwani ya Atlantiki, pamoja na yale ya Uropa na Amerika Kaskazini, na pwani ya Afrika. Kama magugu mengine ya baharini, ni chanzo tajiri cha virutubishi vingi ambavyo ni vigumu kupata. Inajulikana zaidi kama 'seamoss' mwani wa baharini, matumizi yake makubwa hutumika kwa kuongeza uzito na hutumiwa sana na watengenezaji wa vyaula vya kusindika.Item Faifa ya ukwaju kwa afya(Swahili BBC, 2024-04-13) Swahili BBCUkwaju unajulikana zaidi kwa matumizi yake katika vyakula hasa katika maeneo ya Asia, Amerika Kusini, visiwa vya Caribean na Afrika. Vilevile ukwaju ni maarufu katika uponyaji. Hutumika kupunguza maumivu, kutuliza usumbufu wa tumbo, na kutuliza homa. Watafiti wa zama hizi wamegundua kuwa ukwaju unaweza kutoa faida zaidi za kiafya kuliko ilivyokuwa inajulikana hapo awali.