Faifa ya ukwaju kwa afya
Loading...
Date
2024-04-13
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Swahili BBC
Abstract
Ukwaju unajulikana zaidi kwa matumizi yake katika vyakula hasa katika maeneo ya Asia, Amerika Kusini, visiwa vya Caribean na Afrika.
Vilevile ukwaju ni maarufu katika uponyaji. Hutumika kupunguza maumivu, kutuliza usumbufu wa tumbo, na kutuliza homa.
Watafiti wa zama hizi wamegundua kuwa ukwaju unaweza kutoa faida zaidi za kiafya kuliko ilivyokuwa inajulikana hapo awali.
Description
Keywords
Ukwaju, Faida, Kiafya
Citation
https://www.bbc.com/swahili/articles/c3g8kezlr4jo