Browsing by Author "Taasisi ya Utafiti wa Kahawa Tanzania (TaCRI)"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Muhtasari wa taarifa ya Taasisi ya Utafiti wa Kahawa Tanzania (TaCRI) iliyotolewa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.(Taasisi ya Utafiti wa Kahawa Tanzania (TaCRI), 2017-05) Taasisi ya Utafiti wa Kahawa Tanzania (TaCRI)UTANGULIZI Kijarida hiki kinatoa muhtasari wa tarakimu za uchanganuzi wa udongo wilaya ya Mvomero, katika ngazi ya kata. Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na TaCRI mwaka 2013 katika maeneo ambapo kahawa huzalishwa. Tarakimu za kimaeneo (vijiji) zimetafsiriwa kwa rejea ya mahitaji ya rutuba kwa kahawa ya Arabika na ushauri wa kimaeneo kuhusu njia mwafaka za kutunza rutuba ya udongo ili kahawa iwe na tija endelevu. Taarifa kamili imekwisha wasilishwa wilayani, hivyo kijarida hiki ni rejea mahsusi kwa wakulima na wagani katika ngazi ya kata