Muhtasari wa taarifa ya Taasisi ya Utafiti wa Kahawa Tanzania (TaCRI) iliyotolewa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.

Loading...
Thumbnail Image

Date

2017-05

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Taasisi ya Utafiti wa Kahawa Tanzania (TaCRI)

Abstract

UTANGULIZI Kijarida hiki kinatoa muhtasari wa tarakimu za uchanganuzi wa udongo wilaya ya Mvomero, katika ngazi ya kata. Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na TaCRI mwaka 2013 katika maeneo ambapo kahawa huzalishwa. Tarakimu za kimaeneo (vijiji) zimetafsiriwa kwa rejea ya mahitaji ya rutuba kwa kahawa ya Arabika na ushauri wa kimaeneo kuhusu njia mwafaka za kutunza rutuba ya udongo ili kahawa iwe na tija endelevu. Taarifa kamili imekwisha wasilishwa wilayani, hivyo kijarida hiki ni rejea mahsusi kwa wakulima na wagani katika ngazi ya kata

Description

Kipeperushi

Keywords

Kahawa, Udongo wa kahawa, Ugani

Citation