Browsing by Author "Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Mikocheni"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Zijue taratibu za uzalishaji wa mbegu za viazi vitamu zilizothibitishwa ubora wake(Mradi wa Bioinnovate - ICOPSEA, 0209-07) Taasisi ya Utafiti wa Kilimo MikocheniViazi vitamu ni zao muhimu la chakula na lishe bora nchini Tanzania. Viazi vitamu vina wanga mwingi hivyo ni njia nafuu ya kuupatia mwili nguvu. Majani ya viazi vitamu hutumika kama mboga na hivyo ni chanzo cha vitamini na madini joto mwilini. Pia viazi vitamu ni chanzo cha kipato kwa familia na taifa.