Zijue taratibu za uzalishaji wa mbegu za viazi vitamu zilizothibitishwa ubora wake
Loading...
Date
0209-07
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mradi wa Bioinnovate - ICOPSEA
Abstract
Viazi vitamu ni zao muhimu la chakula na lishe bora nchini Tanzania. Viazi vitamu vina
wanga mwingi hivyo ni njia nafuu ya kuupatia mwili nguvu. Majani ya viazi vitamu
hutumika kama mboga na hivyo ni chanzo cha vitamini na madini joto mwilini. Pia viazi
vitamu ni chanzo cha kipato kwa familia na taifa.
Description
Kipeperushi
Keywords
Viazi, Viazi vitamu, Mbegu za viazi vitamu, Majani ya viazi vitamu