Browsing by Author "Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Kilimo cha mbaazi cha mda mrefu(Tari, 2023) Taasisi ya utafiti wa kilimo TanzaniaMbaazi ni zao jamii ya mikunde,faida kubwa ya zao hili ni chanzo cha viini lishe vya protini kwa binadamu na wanyama. Linavumilia ukame. Hupunguza umaskini kwani zao hili ni chanzo cha mapato kwa kaya. Hurutubisha udongo. Linaweza kuchanganywa na mazao mengine shambani kama vile mahindi na mtama. Ili kujipatia mazao mengi na bora ya mbaazi ya mda mrefu zingatia maelezo yaliyomo katika kipeperushi hiki.Item Matunzo ya shamba na uvunaji wa zabibu(TARI, 2024) Taasisi ya utafiti wa kilimo TanzaniaMATUNZO YA SHAMBA NA UVUNAJI Ili kupata mavuno yenye tija ni muhimu kutunza vizuri shamba la mizabibu. Matunzo ya shamba ni pamoja na kupalilia, kutifulia, kudhibiti visumbufu na kukatia mizabibu. Palilia shamba mara kwa mara ili kudhibiti magugu, kwa wastani palizi tatu zinatosha katika msimu mmoja . Ni muhumu kutifulia udongo kwenye shamba la mizabibu kila wakati ili kuvuna maji ya mvua.