Kilimo cha mbaazi cha mda mrefu
Loading...
Date
2023
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Tari
Abstract
Mbaazi ni zao jamii ya mikunde,faida kubwa ya zao hili ni
chanzo cha viini lishe vya protini kwa binadamu na wanyama.
Linavumilia ukame.
Hupunguza umaskini kwani zao hili ni chanzo cha mapato kwa kaya.
Hurutubisha udongo.
Linaweza kuchanganywa na mazao mengine shambani kama vile mahindi na mtama.
Ili kujipatia mazao mengi na bora ya mbaazi ya mda mrefu zingatia maelezo yaliyomo katika kipeperushi hiki.
Description
Keywords
Mbaazi, Mda mrefu, Kilimo
Citation
www.tari.go.tz