Browsing by Author "Tume ya Taifa ya Umwagiliaji"
Now showing 1 - 3 of 3
Results Per Page
Sort Options
Item Kilimo Shadidi cha Mpunga(Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, 2023) Tume ya Taifa ya UmwagiliajiKilimo shadidi cha mpunga (System of Rice Intensification—SRI) ni teknolojia bora yenye kutumia maji na mbegu kidogo kwa kutoa mavuno mengi. Hutumika kwa ku- badilishana kati ya kulowanisha kwa siku 3 na kukausha ardhi kwa siku 7 kwa kina cha sentimita 2 za maji yaliyotuama. Mu- da wa ukavu huweza kuwa kati ya siku 4 - 7. Mipasuko ya udongo kwenye jaruba ni kiashiria cha kumwagilia maji kwenye jaruba. Kama udongo ni wa mfinyanzi ta- hadhari kubwa yatakiwa kutoruhusu mipasuko ya kupitiliza kabla ya kum- wagilia ili kuepuka maji mengi kupotea isivyotarajiwa.Item Uhamasishaji wa Teknolojia yakupima unyevu kwenye ardhi au “Teknolojia ya Kinyonga”(Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, 2023) Tume ya Taifa ya UmwagiliajiTekinoljia hii hupima uwepo wa unyevu nyevu ndani ya udongo, na kinapima kiasi cha mvutano ambacho mmea unatumia kupata maji kutoka kwenye udongo. Kina taa za rangi nne na hufukiwa ndani ya udongo ili kupima unyevunyevu.Item Vyama vya Wamwagiliaji(Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, 2023) Tume ya Taifa ya UmwagiliajiKanuni ya 97 ya kanuni za Umwagiliaji inaelekeza uundaji wa kamati ya usuluhishi wa migogoro yenye wajumbe wasiopungua 3 na wasiozidi 5 wali- ochaguliwa miongoni mwa wanachama. Wajumbe wa kamati ya usuluhishi watachaguliwa katika mku- tano mkuu ambao hawatatokana na wajumbe au viongozi waliopo katika kamati kuu ya Usimamizi.