Browsing by Author "Tume ya Taifa ya umwagiliaji"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Aina mbalimbali za umwagiliaji(Tume ya Taifa ya umwagiliaji, 2021-10-15) Tume ya Taifa ya umwagiliajiUmwagiliaji ni mtindo wa kilimo cha kupelekea mimea maji shambani kwa kiwango kilichoruhusiwa pasipo kutegemea unyeshaji mvua. Umwagiliaji huenda pamoja na matupio (drainage), ambao ni uondoaji makusudi wa maji ya ziada katika eneo baada ya kumwagilia.Katika nchi yetu, umwagiliaji umekuwa unafanywa sehemu ambazo mvua ni kidogo au sehemu ambazo zinakuwa na mvua nyingi kwa kipindi kifupiTeknolojia ya umwagiliaji maji mashambani inaanzia kwenye kuchukua maji kwenye vyanzo vya maji, kupeleka mashambani na kuyarudisha mton