Aina mbalimbali za umwagiliaji

Loading...
Thumbnail Image

Date

2021-10-15

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Tume ya Taifa ya umwagiliaji

Abstract

Umwagiliaji ni mtindo wa kilimo cha kupelekea mimea maji shambani kwa kiwango kilichoruhusiwa pasipo kutegemea unyeshaji mvua. Umwagiliaji huenda pamoja na matupio (drainage), ambao ni uondoaji makusudi wa maji ya ziada katika eneo baada ya kumwagilia.Katika nchi yetu, umwagiliaji umekuwa unafanywa sehemu ambazo mvua ni kidogo au sehemu ambazo zinakuwa na mvua nyingi kwa kipindi kifupiTeknolojia ya umwagiliaji maji mashambani inaanzia kwenye kuchukua maji kwenye vyanzo vya maji, kupeleka mashambani na kuyarudisha mton

Description

Keywords

Kilimo, Umwagiliaji, Tume

Citation

Collections