Browsing by Author "Ufugaji bora group"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Bata mzinga(Ufugaji bora group, 2024-10-11) Ufugaji bora groupBata mzinga ni bata ambao wanahitaji matunzo ya hali ya juu. Kwa kawaida bata mzinga hula chakula kingi kuliko kuku. Bei yake ni ghali zaidi. Kabla ya kuanza ufugaji wa bata mzinga ni lazima kuhakikisha una chakula cha kutosha kwa sababu ulishaji wa ndege hawa kadri wanavyokua huwa na gharama kubwa zaidi.