Bata mzinga
Loading...
Date
2024-10-11
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Ufugaji bora group
Abstract
Bata mzinga ni bata ambao wanahitaji matunzo ya hali ya juu. Kwa kawaida bata mzinga hula chakula kingi kuliko kuku. Bei yake ni ghali zaidi. Kabla ya kuanza ufugaji wa bata mzinga ni lazima kuhakikisha una chakula cha kutosha kwa sababu ulishaji wa ndege hawa kadri wanavyokua huwa na gharama kubwa zaidi.
Description
Keywords
Bata mzinga, Ufugaji bora
Citation
https://ufugajibora.co.tz/ufugaji-bora-wa-bata-mzinga/