Browsing by Author "Wizara ya Kilimo, Idara ya Maendeleo ya Mazao Chakula na Ushirika"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Kilimo cha zao la vanilla(Colour Print (T) Ltd, 2006) Wizara ya Kilimo, Idara ya Maendeleo ya Mazao Chakula na UshirikaZao la vanilla ni moja ya zao la viungo ambalo asili yake ni Kusini Mashariki ya Mexico na sehemu nyingine za Amerika ya Kati. Vanilla hulimwa katika nchi mbalimbali duniani. Nchi zinazolima kwa wingi ni pamoja na Madagascar, Comoro, Tahiti, Uganda, India na nchi nyingine za Amerika ya Kati.