Kilimo cha zao la vanilla
Loading...
Date
2006
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Colour Print (T) Ltd
Abstract
Zao la vanilla ni moja ya zao la viungo ambalo asili yake ni Kusini Mashariki ya
Mexico na sehemu nyingine za Amerika ya Kati. Vanilla hulimwa katika nchi
mbalimbali duniani. Nchi zinazolima kwa wingi ni pamoja na Madagascar,
Comoro, Tahiti, Uganda, India na nchi nyingine za Amerika ya Kati.
Description
Keywords
Zao la vanilla