Browsing by Author "Wizara ya Mali asili na Utalii, T"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Mwongozo wa kuandaa maandiko ya mradi na utaratibu wa kutoa ruzuku(Wizara ya Mali asili na Utalii, 2013-03-13) Wizara ya Mali asili na Utalii, TMwongozo huu ni tafsiri ya toleo la Kiingereza la Mwaka 2012. Mfuko wa Misitu Tanzania umetayarisha Mwongozo wa kuandaa maandiko ya Miradi na Utaratibu wa Kutoa Ruzuku ikiwa ni jitihada ya kuepuka upendeleo, kuwa na uwazi na ufanisi katika kazi zake. Ni dhahiri kuwa Taasisi zenye sera na utaratibu ulio wazi wa kuitisha maombi ya ruzuku kwa ajili ya kutekelezea miradi na kusimamia ruzuku hiyo zinaheshimika kwa uwazi huo na uadilifu. Aidha, kuwa na utaratibu sanifu kunasaidia kudumisha mawasiliano muhimu kati ya waombaji wa ruzuku na waliopatiwa ruzuku hiyo.