Mwongozo wa kuandaa maandiko ya mradi na utaratibu wa kutoa ruzuku
Loading...
Date
2013-03-13
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Mali asili na Utalii
Abstract
Mwongozo huu ni tafsiri ya toleo la Kiingereza la Mwaka 2012. Mfuko wa Misitu
Tanzania umetayarisha Mwongozo wa kuandaa maandiko ya Miradi na Utaratibu
wa Kutoa Ruzuku ikiwa ni jitihada ya kuepuka upendeleo, kuwa na uwazi na ufanisi
katika kazi zake. Ni dhahiri kuwa Taasisi zenye sera na utaratibu ulio wazi wa
kuitisha maombi ya ruzuku kwa ajili ya kutekelezea miradi na kusimamia ruzuku
hiyo zinaheshimika kwa uwazi huo na uadilifu. Aidha, kuwa na utaratibu sanifu
kunasaidia kudumisha mawasiliano muhimu kati ya waombaji wa ruzuku na
waliopatiwa ruzuku hiyo.