Browsing by Author "Wizara ya kilimo"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Fahamu tunda lenye uwezo wa kuimarisha tendo la ndoa(Wizara ya kilimo, 2023-07-13) Wizara ya kilimoKulingana na wataalamu, zabibu ina vitamini C mara nne zaidi kuliko vinywaji vingi vya juisi wakati oksidi pia hupatikana ndani yake.Zabibu pia inaweza kutumika kwa madhumuni ya matibabu katika siku zijazo. Virutubisho vinavyopatikana ndani ya tunda la zabibu vinafanyiwa majaribio ili kuona jinsi vinaweza kutumika kutibu shinikizo la damu na matatizo ya akiliItem Kilimo cha Binzari(Wizara ya kilimo, 2014-01-31) Wizara ya kilimoJina la kitalaam ni Curcuma domestica na kwa kiingereza ni turmeric. Zao hili asili yake ni Mashariki ya Mbali, na linalimwa zaidi katika mkoa wa Tanga, Kagera Kilimanjaro, Morogoro naZanzibar.