Fahamu tunda lenye uwezo wa kuimarisha tendo la ndoa
Loading...
Date
2023-07-13
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya kilimo
Abstract
Kulingana na wataalamu, zabibu ina vitamini C mara nne zaidi kuliko vinywaji vingi vya juisi wakati oksidi pia hupatikana ndani yake.Zabibu pia inaweza kutumika kwa madhumuni ya matibabu katika siku zijazo. Virutubisho vinavyopatikana ndani ya tunda la zabibu vinafanyiwa majaribio ili kuona jinsi vinaweza kutumika kutibu shinikizo la damu na matatizo ya akili
Description
Keywords
Tunda, Tendo, Kuimarisha