Browsing by Author "Wizara ya mifugo na uvuvi"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Mwongozo wa ufugaji bora wa sungura(Wizara ya mifugo na uvuvi, 2020) Wizara ya mifugo na uvuviSungura wako katika kundi la mamalia wadogo katika familia ya Leporidae ya oda ya Lagomorpha .Kuna aina zaidi ya 45 za sungura duniani kote ambazo zinatofautiana kulingana na rangi ukubwa pamoja na matumizi.Sungura hutupatia nyama nyeupe isiyo na mafuta ya lehemu(cholesterol ) na hivyo wataalamu wa lishe huimiza nyama ya sungura kwani ni bora kwa afya hivyo kuitwa nyama tiba.