Mwongozo wa ufugaji bora wa sungura
Loading...
Date
2020
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya mifugo na uvuvi
Abstract
Sungura wako katika kundi la mamalia wadogo katika familia ya Leporidae ya oda ya Lagomorpha .Kuna aina zaidi ya 45 za sungura duniani kote ambazo zinatofautiana kulingana na rangi ukubwa pamoja na matumizi.Sungura hutupatia nyama nyeupe isiyo na mafuta ya lehemu(cholesterol ) na hivyo wataalamu wa lishe huimiza nyama ya sungura kwani ni bora kwa afya hivyo kuitwa nyama tiba.
Description
Keywords
Sungura, Mwongozo, Ufugaji bora
Citation
https://www.mifugouvuvi.go.tz