Browsing by Author "chuo kikuu cha kilimo cha sokoine"
Now showing 1 - 3 of 3
Results Per Page
Sort Options
Item Boga(Sokoine University of Agriculture, 2022-10-31) chuo kikuu cha kilimo cha sokoinePumpkins ni miongoni mwa vyakula vilivyopo katika kundi la mimea ya Cucurbitaceae au familia ya squash. Maboga huwa yana umbo kubwa, la dura na rangi yake huwa ni ya kijani kilichopauka na kwa ndani huwa na rangi ya chungwa. Kwa sehemu yan je maboga huwa magumu lakini yanapopikwa hulainika. Ndani ya boga huwa kuna kuna mbegu ambazo hutolewa na sehemu ya ndani ambayo huwa inaliwa. Kipande cha gramu 80 cha boga (lililochemshwa) huwa na : Gramu 0.5g za protini Gramu 0.2 za mafuta Gramu 1.5 za nafaka Gramu 1.4 za sukari Gramu 1.2 za faiba( nyuzinyuzi) Miligramu 67za Potassium Miligramu 764 za carotene Miligramu 6 za vitramini C 10Kcal / 42KJItem Ngozi ni mali(chuo cha kilimo cha Sokoine, 2015) chuo kikuu cha kilimo cha sokoineNgozi ni mail kwako wewe na kwa nchi yako. Ngozi za Tanganyika huuzwa mahali pote duniani. Ngozi za nchi yetu lazima ziwe safi kabisa ill ziweze knstahili sifa nzuri katika soko la dunia.Item Vyakula vitano ni hatari zaidi kwa uhai wa binadamu.(Chuo cha kilimo cha Sokoine., 2021-11-04) chuo kikuu cha kilimo cha sokoineInaweza kuonekana kuwa hakuna ubaya katika kula aina fulani ya vyakula. Lakini, kuna wakati, kutojali kunaweza kusababisha matatizo mengi ya kiafya. Wakati mwingine kutojali kuhusu kuacha kuvila, ama kuvila kwa wingi kunaweza kuhatarisha maisha yako na kusababisha hata kifo. Unapaswa kuwa mwangalifu sana, haswa linapokuja suala la kula aina zifuatazo tano za vyakula. Mbali na kufahamu kupitia makala haya kuhusu hatari ya vyakula hivi, fikiria kuhusu kuviweka kando kabisa