Vyakula vitano ni hatari zaidi kwa uhai wa binadamu.
Loading...
Date
2021-11-04
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Chuo cha kilimo cha Sokoine.
Abstract
Inaweza kuonekana kuwa hakuna ubaya katika kula aina fulani ya vyakula. Lakini, kuna wakati, kutojali kunaweza kusababisha matatizo mengi ya kiafya.
Wakati mwingine kutojali kuhusu kuacha kuvila, ama kuvila kwa wingi kunaweza kuhatarisha maisha yako na kusababisha hata kifo. Unapaswa kuwa mwangalifu sana, haswa linapokuja suala la kula aina zifuatazo tano za vyakula. Mbali na kufahamu kupitia makala haya kuhusu hatari ya vyakula hivi, fikiria kuhusu kuviweka kando kabisa
Description
Keywords
Vyakula, Binadamu, Hatari
Citation
https://www.bbc.com