Matumizi bora ya zana za Kilimo
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Matumizi bora ya zana za Kilimo by Subject "Mbolea"
Now showing 1 - 4 of 4
Results Per Page
Sort Options
Item Indicative fertilizers prices by zone, region and stock point by means of transport(TANZANIA FERTILIZER REGULATORY AUTHORITY, 2017)Bei elekezi za mboloea kutokana na vituo, mikoa, kanda na kwa njia ya usafirishaji kama zilizvyotolewa na Mamlaka ya Kusimamia Mbolea Tanzania.Item Matumizi bora ya mbolea ya minjingu kwenye kilimo cha mboga(Kituo cha Utafiti wa Mazao Mikocheni & Kituo cha Utafiti wa Mazao Uyole, 2012)Kipeperushi kinachoelezea matumizi sahihi ya mbolea ya Minjingu katika ukulima wa mboga mboga.Item Matumizi ya mbolea za kukuzia kwenye mahindi(Kilimo Blog, 2010-04-23) Kilimo BlogMbolea za kukuzia ni mbolea zinzotumika kuupa mmea afya nzur na mavuno kuwa mazuri wakati wa kuvuna, mbolea hizi zikitumika vibaya pia huleta madhara makubwa kwa mlaji na ardhi kwa ujumla, zipo mbolea za aina nying lakin leo nitazungumzia.Item Tathmini ya mfumo wa utoaji wa pembejeo za kilimo kwa wakulima kupitia ruzuku Tanzania(EPINAV - SUA, 2013)Mojawapo ya kikwazo kikubwa kinachomkwamisha mkulima mdogo kulima kwa tija ni kumudu gharama za matumizi ya pembejeo za kilimo (mbolea na mbegu bora). Katika kuhakikisha Serikali ya Tanzania inamsaidia mkulima kumudu gharama hizo, mwaka 2008/2009 Serikali ilianzisha na kutekeleza utaratibu wa kuwapatia wakulima pembejeo za kilimo kwa njia ya ruzuku kwa kupitia mfumo wa vocha (National Agricultural Inputs Voucher System - NAIVS). Katika kufuatilia ufanisi wa mpango huu, utafiti umefanywa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), chini ya mradi wa Enhancing Pro-poor Innovation in Natural Resources and Agricultural Value Chains (EPINAV).