Mlo kamili wa kuku

dc.contributor.authorKuku site
dc.date.accessioned2024-09-11T07:49:01Z
dc.date.available2024-09-11T07:49:01Z
dc.date.issued2024
dc.description.abstractMlo kamili wa kuku ni mlo wenye virutubisho vyote muhimu anavyohitaji kuku kwa kiwango na uwiano sahihi, Virutubisho vinavyohitajika katika mlo wa kuku ni kama ifuatavyo: 1.Wanga (carbohydrates) Wanga hutumika kama chanzo cha haraka cha nishati (nguvu) katika mwili wa kuku, na inapatikana katika nafaka mbalimbali kama Mahindi, Pumba ya mahindi, Ngano, Mtama, Mchele n.k 2. Protini ( protein ) Ni kirutubisho muhimu ambacho hujenga mwili. Protini inapatikana katika vyakula kama Mashudu ya Alizeti, Dagaa, Soya, Damu n.k 3.Mafuta (Fat) Mafuta ni muhimu sana katika lishe ya kuku kwani humuwezesha kuku kusharabu fat soluble vitamins kama vitamin A, D, E, na K, huhifadhi nishati, kutunza joto na kulinda ogani muhimu katika mwili wa kuku.en_US
dc.identifier.citationhttps://kuku.great-site.neten_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/930
dc.language.isootheren_US
dc.publisherKuku siteen_US
dc.subjectKukuen_US
dc.subjectChakulaen_US
dc.subjectMlo kamilien_US
dc.titleMlo kamili wa kukuen_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Chakula cha kuku.pdf
Size:
366.47 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections