Kulisha mifugo kwa kutumia Lucerne ya miti
Loading...
Date
2011
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kenya Agricultural Research Institute - KARI
Abstract
Mti wa Lucerne (tree Lucerne) ni aina mpya ya mmea wenye chakula cha hali ya juu kwa mifugo; na ambao pia hutumika kwa mapambo, kuzuia mmomonyoko wa
udongo kwa maji au upepo, kurutubisha ardhi na kuni.
Description
Keywords
Lucerne, Mifugo, Chakula