Kitabu cha mwongozo wa mafunzo kwa wawezeshaji wa shamba darasa wa Mradi wa Igunga Eco-Village

dc.date.accessioned2019-02-13T07:14:42Z
dc.date.available2019-02-13T07:14:42Z
dc.date.issued2018
dc.description.abstractKitabu hiki cha mwongozo wa wawezeshaji wa mashamba darasa kitatumiwa na wawezeshaji hao kutoa mafunzo kwenye mashamba darasa na jamii zinazowazunguka. Kitabu hiki pia kinatoa mwongozo katika mafunzo ya ujenzi wa jiko banifu, biogesi, Kilimo cha kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na ufugaji wa kuku wa asili na samaki. Kitabu hiki pia kinatoa mwongozo katika masuala ya maji na usafi wa mazingira, gharama nafuu katika ujenzi wa choo na chujio la kuchujia maji kwa gharama nafuu, kifaa cha kukarabati na kuchimba lambo, uchimbaji wa kisima na pampu ya kamba.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/404
dc.language.isootheren_US
dc.publisherHalmashauri ya Wilaya ya Igunga, Tanzaniaen_US
dc.subjectIgungaen_US
dc.subjectShamba darasaen_US
dc.subjectMazingiraen_US
dc.subjectVijiji rafiki wa mazingiraen_US
dc.subjectEco-villageen_US
dc.titleKitabu cha mwongozo wa mafunzo kwa wawezeshaji wa shamba darasa wa Mradi wa Igunga Eco-Villageen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Job-Aid-for-FFS-Facilitators-Final.pdf
Size:
644.22 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: