Jinsi ya kufanya kilimo bora cha giligilani
Loading...
Date
2018-12-08
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Farmers MARKET
Abstract
Kilimo cha Giligilani (coriander) ni mradi mkubwa unaojitosheleza na zao hili huchukua muda mfupi toka kuotesha hadi kuvuna. Giligilani hutumika kama kiungo cha chakula katika mapishi mbalimbali kama nyama, supu au mchuzi. Giligilani hulimwa katika maeneo mengi ya Tanzania hususani mikoa ya Mbeya, Iringa na Arusha.
Description
Keywords
Kilimo cha Giligilani, Aina za giligilani