Utafiti wa binadamu na mazingira mikoa ya kati Tanzania

dc.contributor.authorOstberg, Wilhelm
dc.date.accessioned2022-04-20T10:14:42Z
dc.date.available2022-04-20T10:14:42Z
dc.date.issued1994-05-23
dc.description.abstractMpango wa utafiti wa Binadamu na Mazingira Mikoa ya Kati Tanzania unaendeshwa kwa ushirikiano kati ya Institute of Resource Assessment (IRA), Chuo Kikuu cha Dar es-salaam, nchini Tanzania, na Environment and Development Studies Unit (EDSU), School of Geography, Stockholm University, Sweden. Watafiti wapatao kurni na tano kutoka nyanja mbalimbali wanahusika na utafiti huu. Vyuo hivyo viwili vinashirikiana katika rnipango mbalimbali ya kuandaa na kutekeleza shughuli za utafiti. Mpango huu unaratibiwa na Mkurugenzi wa IRA, Profesa Idris Kikula na Mkuu wa kitengo cha EDSU, Profesa Carl Christiansson. Fedha kwa ajili ya mpango huu zimetolewa na the Swedish Agency for Research Cooperation with the Developing Countries, SAREC. Matokeo ya utafiti huu yanatarajiwa kutumika na idara mbalimbali za serikali na mashirika ya umma,miradi ya Hifadhi Ardhi na Mazingira na mashirika mbalimbali ya kimataifa yaliyo katika rnikoa hiyo. Wakati huo huo matokeo ya utafiti huo yatasaidia katika kuelewa hali halisi ya mazingira na maturnizi ya ardhi katika rnikoa inayohusika. Makala haya yana taarifa ya utafiti uliofanyika katika kuchangia mpango huo. Orodha ya makala mengine yanayohusiana na mpango huo wa utafiti yanapatikana kutoka Institute of Resource Assessment, Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam, S.L.P.35097, Dar es-salaam au kutoka the Environment and Development Studies, School of Geography, Stockholm University, S-106 91 Stockholm, Sweden.en_US
dc.description.sponsorshipSTOCKHOLM UNIVERSITYen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/619
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUNIVERSITY OF DAR ES SALAAMen_US
dc.subjectUlezien_US
dc.subjectMifugoen_US
dc.subjectUlezien_US
dc.titleUtafiti wa binadamu na mazingira mikoa ya kati Tanzaniaen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
BINADAMU NA MAZINGIRA.pdf
Size:
10.53 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections